Pages

Home » » ZIARA YA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA KATIKA PICHA

ZIARA YA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA KATIKA PICHA

     
u5 u6 u7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es salaam
      
u2 u3 u4Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein.
 
                      
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama  wa Marekani Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Slaa muda mfupi kabla ya kiongozi huyo wa taifa la Marekani kuondoka nchini baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili(picha na Freddy Maro)
 
8E9U0396 8E9U0397 8E9U0405
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger