Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Wahandisi na mafundi kutoka Korea ya
Kusini ambao wanajenga daraja la kto Malagarasi linalounganisha mikoa
ya Kigoma na Tabora akiwa katika ziaraya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, mkewe Tunu , baadhi ya Mawaziri na wajenzi wa
daraja la mto Malgarasi kutoka Korea Kusini wakiwa karika picha ya
pamoja baada ya Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika
ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Msimazi Mkuu wa
ujenzi wa daraja la mto Malagarasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja
hilo linalounganisha mikoa ya Tabora na Kigoma. Walikuwa katika ziara
ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Daraja
mto Malagarasi linalojengwa na Kampuni kutoa Korea Kusini . Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda alikagua daraja hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa
Kigoma Oktoba 5, 2013.Ujunzi wa daraja hilo umekamilika kwa zaidi ya
asilimia 90. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakitazama ngoma ya
wanawake wa Nguruka wilayani Uvinza kabla kuhutubia mkutano wa hadhara
wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 25, 2013. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Tarafa ya
Nguruka wilayani Uvinza kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika
tarafa hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi wa Nguruka wilayani Uvinza
akaiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wazee wa Tarafa ya Nguruka wilayani Uvinza wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia wananchi wa tarafa hiyo akiwa
katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri
Mkuu)
0 comments:
Post a Comment