Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Sita
la Kimataifa la Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano
wa nne wa Chama cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) lililofanyika jijini Mwanza leo, Oktoba 6, 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Afya, Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Evarist Ndikilo, wakijumuika kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano hilo.
Baadhi ya wananfunzi Madaktari, wakijumuika kuimba wimbo wa Taifa, kabla ya kuanza kwa
kungamano hilo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Cheti kutoka kwa Mratibu wa Kongamano la Sita la
Kimataifa la Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano wa
nne wa Chama cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) ambaye ni mwanafunzi
wa Chuo cha Hubat Kairuki cha Dar es Salaam, Helga Mutasingwa, ikiwa ni
sehemu ya kutambua mchango wa Mhe. Makamu katika kufanikisha
Kongamano hilo. Makamu alipokea Cheti hicho leo Oktoba 6, 2013 baada ya
kufungua rasmi Kongamano hilo jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Dialo, na baadhi ya viongozi baada ya kufungua Kongamano hilo, jijini Mwanza leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi Madaktari, baada ya ufunguzi rasmi wa Kongamano hilo.
0 comments:
Post a Comment