Pages

Home » » MTANGAZIJI WA ITV APIGWA RISASI

MTANGAZIJI WA ITV APIGWA RISASI

Mtangazaji wa ITV, Ufo Saro (pichani) amepigwa risasi na kijana Mushi anayeripotiwa kuwa ni mume au mchumba wa mtangazaji huyo kwa mkujibu wa taarifa za awali mama mzazi wa Ufoo amepigwa risasi ya kifuani na kufa papo hapo leo alfajiri. 

Mushi amempiga risasi ya tumbo na mguuni Ufuo ambaye mpaka sasa anaendelea na matibabu Hospitali ya Tumbi Kibaha na tukio hili limetokea Kimara. Baada ya tukio hilo, Mushi alijipiga risasi  kufa papo hapo.  SOURCE RADIO ONE

Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Ufuo amekimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu zaidi.
Hata hivyo inaelezwa kuwa kijana huyo pia nae alijiua mara baada ya kufanya tukio hilo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger