KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA RPC ATHUMANI DIWANI AKIFUNGUA BONANZA HILO
MRATIBU WA MBEYA KWANZA SUPER BONANZA AKITOA MAELEZO MACHAJE JUU YA BONANZA HILO.
MWANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA CHARLES MWAKIPESILE AKIELEZEA UMUHIMU WA MICHEZO NA MSHIKAMANO KATIKA BONANZA HILO
TAASISI MBALIMBALI ZA KISERIKALI WAMEHUDHURIA VEMA KATIKA BONANZA HILI, HAWA NI WACHEZAJI WAKIWA WANASIKILIZA JAMBO
KAMANDA WA POLISI RPC ATHUMANI DIWANI, AKISALIMIANA NA WACHEZAJI
HII NI TIMU YA DAMU SALAMA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA KABLA YA MECHI KUANZA
WADAU WANAENDELEA KUPATA KIDUKU
MPIRA UMEANZA HAPA
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH . ABASI KANDORO AKIPOKEA ZAWADI YA SAA KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA RPC ATHUMANI DIWANI KWA KUSHIRIKI KATIKA BONANZA HILO.
MMOJA YA WACHEZAJI WA TIMU YA HABARI AKIPOKEA ZAWADI KWA KUCHEZA VIZURI
SOLOMONI MWANSELE AKIPOKEA ZAWADI YA SAA KWA NIABA YA WAANDISHI WA HABARI WALIOSHIRIKI BONANZA HILO
MMOJA WA MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI MBEYA AKIPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MKUU WA MKOA
MWANDISHI WA HABARI THOMSON MPANJI AKIPOKEA ZAWADI YA KUKU BAADA YA KUSHINDA SHINDANO LA KUKIMBIZA KUKU.
NAHODHA WA TIMU YA WATANGAZAJI WA RADIO HURUBU KABWE AKIPOKEA ZAWADI YA SAA TATU KWA TIMU YAO ILIYO SHIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA MPIRA WA MIGUU
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. ABASI KANDORO BAADA YA KUTOA ZAWADI KWA WASHIRIKI WA BONANZA NA YEYE ALITOA ZAWADI YA KIASI CHA SHIRINGI MILIONI MOJA KWA WAANDAAJI WA BONANZA HILI LITAKALO ENDELEA MWEZI UJAO NA KUFUNGA BONANZA HILO.
0 comments:
Post a Comment