Mwanasheria
Mkuu wa Serikali yaMapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman
(kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano baina yao uliofanyika leo jumamosi januari 26, 2013) katika
ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa maoni yake kuhusu
KatibaMpya kwaTume. Kulia ni Mwenyekiti wa Tumehiyo, Jaji Joseph
Warioba.
Mwanasheria
Mkuu wa zamani waSerikali, Mhe. Andrew Chenge akizungumza na wajumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo
jumamosi januari 26, 2013) katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar es
Salaam na kutoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu AugustinoRamadhani.
Rais mstaafu
Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko
ya Katiba walioongozwa na Mwenyekitiwa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba
(kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia) leo
(jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika
uandishi wa Katiba Mpya.
Rais mstaafu
Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu
Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati). Wajumbe wa
Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia) leo (jumamosijanuari 26,
2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu,
AugustinoRamadhani (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo
mstaafu (kulia) leo (jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
0 comments:
Post a Comment