Home »
» RUNGWE YAPIGA HATUA KATIKA SEKTA YA AFYA NA ELIMU, TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM MWAKA 2005 HADI 2012 KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA VIJANA 1500 MADEREVA BODABODA KUPEWA MAFUNZO NA LESENI BURE
RUNGWE YAPIGA HATUA KATIKA SEKTA YA AFYA NA ELIMU, TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM MWAKA 2005 HADI 2012 KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA VIJANA 1500 MADEREVA BODABODA KUPEWA MAFUNZO NA LESENI BURE
|
MOSES
MWIDETE AKIONGEA KWA KUWAKARIBISHA WANANCHI NA VIONGOZI MBALIMBALI
KUMSIKILIZA MKUU WA WILAYA AKIELEZA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA
UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM |
|
MKUTANI ULIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MWANKENJA |
|
BAADHI
YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA TAYARI KWA KAZI YA
KUSIKILIZA NINI YALIYOFANYIKA WILAYANI RUNGWE IKIWA NI UTEKELEZAJI WA
ILANI YA CCM KWA WANANCHI |
|
ALLY
MWAKALINDILE MWENYEKITI WA CCM AKIONGEA NA WANANCHI , WATENDAJI WA
BUSOKELO NA RUNGWE NA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA MBEYA KABLA
HAJAMKARIBISHA MKUU WA WILAYA YA RUGWE KUELEZA MAFANINIKIO YA
UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM |
|
WATENDAJI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO NA RUNGWE WAKISIKILIZA KWA MAKINI |
|
MAKADA WA CCM NA MADIWANI WILAYANI RUNGWE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MKUU WA WILAYA |
|
MKUU WA WILAYA AKIONGEA KWA MSISITIZO |
|
MKUU
WA WILAYA CHRISTIN MEELA NA MEZA KUU WAKITOKA UKUMBINI BAADA YA
KUMALIZA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI. FUATANA NAMI ILI KUJUA MAMBO
YALIYOFANYIKA WILANI RUNGWE KWA KIFUPI NI UJENZI WA SIKIMU ZA
UMWAGILIAJI NNE ZILIZO ANZA UZALISHAJI WA MPUNGA, UTEKELEZAJI WA MIRADI
11 YA MAJI, UJENZI WA JENGO JIPYA LA HALMASHAURI, UJENZI WA OFISI YA
BONDE LA MAJI, UJENZI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA CHANGALAWE ,
UANZISHWAJI WA OFISI YA MAMLAKA YA MJI MDOGO TUKUYU, KUANZISHWA KWA
HALMASHAURI YA BUSOKELO NA MENGINE MENGI KATIKA SEKTA YA AFYA, KILIMO,
MIUNDOMBINU , MAJI, NA MAZINGIRA PIA MICHEZO. MAKALA INAKUJA YA
MAENDELEO NA CHANGAMOTO ZAKE |
0 comments:
Post a Comment