Kwa sasa moto unatoke kwa juu ya paa ya jengo hilo.
Gari la zima moto na wafanyakazi wa zimamoto wanahagaika kutafuta mbinu na jinsi ya kuweza kufika juu ya jengo, lakini kufuatana na vifaa duni wanapata shida jinsi yakuweza kufika eneo lenye moto.
Vijana wazimamoto wamejitahidi kupunguza kasi ya moto, lakini bado kuna dalili za moshi mzito upande wa kusini mwa jengo.
Hatimaye moto umezimwa eneo lote la jengo. Kwa sasa hakuna dalili zozote za moshi juu ya jengo.
HABARI ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII KWA MATUKIO ZAIDI
0 comments:
Post a Comment