Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaongoza maelfu
ya wakazi wa Mji wa Kigoma na Vitongoji vyake katika matembezi ya Mshikamano
kuadhimisha Miaka 36 ya CCM.
Rais
Kikwete aliyeambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete alianza matembezi hayo saa
moja na nusu abuhi katika eneo la Mnarani Jirani na Ofisi za mkuu wa mkoa hadi
CCM Mkoa wa Kigoma na kutembea kwa umbali wa takribani kilometa 5.
Wanachi na
wanachama na wapenzi wa CCM walijitokeza kwa wingi katika matembezi hayo ambayo
baade leo jioni Mwenyekiti huyo wa chama Taifa atahutubia mkutano wa hadhara
katika Viwanja vuya Lake Tanganyika.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Bibi
Koku ambaye aliwahi kuwa Katibu wa CCM katika Wilaya mbalimbali nchini ikiwapo
Dodoma, Kongwa na Mwisho Wilaya ya Kasulu wakati wa Mfumo wa Chama Kimoja.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akianzisha rasmi
matembezi hayo ya Mshikamano.
Matembezi yakiendelea
Brass Band ikiongoza matembezi hayo.
Viongozi mbalimbali wakishiriki matembezi hayo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia wananchi
marabaada ya kumaliza matembezi hayo.
JK akiwapungua mkono wakazi wa Kigoma
Viongozi wa juu wa UVCCM Taifa, Sadifa Abdallah na Mboni Mhita (kulia)
Mkazi huyu alitoka barabarani na Binti yake
Ulinzi ulikuwepo wakutosha
Wananchi waliojitokeza katika matembezi hayo.
0 comments:
Post a Comment