Pages

Home » » SERIKALI IMERIDHIA KUPUNGUZA KIWANGO CHA KODI CHA MISHAHARA NA KUONGEZA KIWANGO CHA MISHAHARA KWA SEKTA BINAFSI NA ZILE ZA UMMA

SERIKALI IMERIDHIA KUPUNGUZA KIWANGO CHA KODI CHA MISHAHARA NA KUONGEZA KIWANGO CHA MISHAHARA KWA SEKTA BINAFSI NA ZILE ZA UMMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Philemon Mgaya,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana. 8E9U2015 
Baadhi ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano  yaliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi  katika Uwanja wa michezo  wa Sokoine mjini Mbeya
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger