UJENZI WA SIKIMU YA KAMBASEGELA UKIENDELEA |
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIPATA MAELEKEZO UA UJENZI WA MRADI WA MAJI WA KAMBASEHERA ULIOPO HALMASHAURI YA BUSOKELO |
MAANDALIZI YA KUPOKEA UGENI WA ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE HAPA NI KIKAO CHA KAMAKA KATA YA KAMBASEGELA WILAYANI RUNGWE |
NIMEPITA LWANGWA AMBAPO NDIKO MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA BUSOKELO NA NI SIKU YA JUMATANO NI SIKU YA GULIO NIMEKUTA WATU WAKIENDELEA KUUZA NA KUNUNUA |
KULIA NI JENGO LA KITUO CHA POLISI AMBACHO KINATARAJIWA KUBOMOLEWA NA KUJENGWA KITUO CHA POLISI CHENYE HADI YA WILAYA KUANZIA MWAKA HUU WA FEDHA 2013/2014 |
NIMEONANA NA RAFIKI YANGU SANA MR GABI MWASYEBULE SIKU HIZI ET ANAITWA DANDO WA BUSOKELO |
OFISI ZA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
.........................................................................................................
WANANCHI
WA MWAKALELI WAPATA HOFU BAADA YA KUACHIWA WATU WAWILI WALIPIGIWA KULA
YA KUHUSIKA NA MAUAJI WA WATOTO WALIOKUFA KWA KUKATWA VICHWA AMBAVYO
MPAKA SASA HAVIJAPATIKANA
MKUU WA WILAYA AKIONGEA NA WANANCHI WA BONDE LA MWAKALELI KATA YA BUSOKELO |
BAADHI YA WAZEE WA KIJIJI CHA ISANGE MWAKALELI WAKIMSIKILIZA MKUU WA WILAYA CHRISPIN MEELA |
WANANCHI WAKISIKILIZA KWA MAKINI |
MKURUGENZI WA BUSOKELO IMELDA ISHUZA AKIONGEA NA WANANCHIPIA AMEWATAKA WANANCHI KUONYESHA USHIRIKIANO WA DHATI KWA VYOMBO VYA USALAMA ILI SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKEKWA WALIO HUSIKA |
MTOTO AYUBU ALIYEUWAWA KWA KUKATWA KICHWA HADI SASA KICHWA CHAKE HAKIJAPATIKANA |
MTOTO DEBORA RIZIKI ALIYE ZIKWA NA BABA YAKE AKIWA HAI SEBURENI MWAO HUKU JUU YA KABURI AKIIWEKA MEZA NA KUIPAMBA VIRUZI |
NA
TAREHE USIKU WA TAREHE 21 MTU MZIMA ALIUWAWA KWA KUPIGWA NA VITU VYENYE
NCHA KALI NA WATU WASIOFAAMIKA KIJIJI CHA NDALA NA MWILI WAKE KUTUPWA
SIKU HIYOHIYO MCHANA KIJANA WA MIAKA 27 ZUBERI KITENE ALIMUUA MAMA YAKE
MZAZI GRESTA MWAKIGOMBE KWA KUMPIGA NA MCHI WA SHOKA HADI KIFO
KIKAMKUTA NYUMBANI KWAKE NA MTUHUMIWA AKIWA ANAKIMBIA ALIKAMATWA
NA WANANCHI NA KUFIKISHWA KITUO CHA POLISI TUKUYU AKISUBIRI SHERIA
KUCHUKUA MKONDOWAKE
MAMA ALIYE UWA WA NA MWANAE WA KUMZAA TUKIO LILILOTOKEA JANA TUKIO AMBALO SASA LINAWAFANYA WANANCHI WA MWAKALELI WAISHI KWA HOFU SANA WAKIHOFIA UZIMA WA MAISHA YAO |
MAREHEMU MAMA GRESTA MWAKIGOMBE ALIYEUWAWA NA MTOTO WAKE WA KUMZAA |
BAADA
YA MAELEZO YA MAJONZI YA MTENDAJI WA KIJIJI CHA ISANGE MWAKALELI
LIKAIBUKA KUBWA KWANINI WANANCHI WALIPIGA KULA NA KUPATIKANA WATU WAWILI
WANAOHISIWA KUWA NI WAHUSIKA NA KUPELEKWA POLISI LAKINI CHA AJABU
WANANONA WATU HAO WAKO HURU WAMEACHIWA SASA HAPO CHINI MZEE AKIAMURU
POLISI WAWALEJESHE WAO VIJANA WAWILI HAPO KIJIJINI KWAKUWA WALIWACHUKUA
MIKONONI MWAO NA KWAKUWA WAMEONA HAWANA MAKOSA SASA WAWALEJESHE ILI WAO
WATAJUA CHA KUFANYA
WANANCHI WA MWAKALELI WAMEAMUA KUWEKA ULIZI KATIKA MAENEO YAO HUKU WATU WASIWE WANATEMBEA PEKE YAO NA WATOTO WASINDIKIZWE KILA WAENDAPO SHULE NA WATOTO WASIENDE KUCHUNGA MIFUGO POLINI |
NIKASHUHUDIA WATOTO WAKICHEZA MAJUMBANI MWAO HAWATAKIWA KUWA MBALI NA WAZAZI WAO |
MKUTANO UKAISHA KWA AMANI HUKU MAAGIZO MENGINE YAKIWA WANANCHI WA MWAKALELI WAJIANDAE KUSHIRIKI MAFUNZO YA MGAMBO YATAKAYOENDESHWA KATIKA KIJIJI CHA ISANGE MWAKALELI |
RUNGWE |
0 comments:
Post a Comment