Pages

Home » » LEO NI SIKU MUHIMU KWANGU KWA KUWA NA FAMILIA YANGU KARIBU BAADA YA KIPINDI KIREFU KUTOKUWA NAYO KARIBU

LEO NI SIKU MUHIMU KWANGU KWA KUWA NA FAMILIA YANGU KARIBU BAADA YA KIPINDI KIREFU KUTOKUWA NAYO KARIBU

 Hapa Dr.Michael Mbwille akiwa na Mama yake kipenzi Ana Namwanja, wakiwa kwenye pozi baada ya Dr.Mbwille kuja nchini kusalimia familia yake.
 Hapa Dr.Mbwille akiwa na wajuu zake ambao wametokana na uzao wa Gabriel Mbwille ambaye ni mmiliki wa mtandao huu ambapo wa kwanza ni MICHAEL GABRIEL MBWILLE, na huyo wa Kike ni CATHERINE GABRIEL MBWILLE na kuhoto ni bibi yangu.

 Dr.Mbwille akiwa na furaha baada ya kukutana na wajukuu zake kwa mara ya kwanza baada ya kumuoacha mtoto wake Gabriel Mbwille miaka 12 iliyopita.
Kweli ni faraja iliyooje unapokutana na wajuu zako, kweli asiye na mwana aeleke jiwe na kama hauna mjukuu basi Muombe Mola atakujalia tu.
Mungu ibariki familia na Ukoo wetu na tujaalie tuzidi kuitunza famia yetu
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger