|
MWENYEKITI
WA KAMATI YA MUDA YA UCHUNGUZI JUU YA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA
KLABU YA MBEYA,BRANDY NELSON AKISOMA TAARIFA YA UCHUNGUZI YA KAMATI HIYO
NAMNA AMBAVYO WALIHUJUMU NA FEDHA ZA KLABU HIYO ZAIDI YA SH MILIONI 10 |
|
MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA DANNY TWEVE AKICHANGIA HOJA YA KUWATAKA WANAODAIWA KUFANYA UBADHIRIFU WAFIKISHWE MAHAKAMANI BAADA YA KUSOMWA KWA TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI JUU UA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU |
|
MJUMBE
WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI MBEYA NAYE AKICHANGIA HOJA YA
KUTIMULIWA UANACHAMA KWA WALIOKUWA VIONGOZI WA KLABU HIYO BAADA YA
KUBAINIKA KUWA WAMEFANYA UBADHIRIFU |
|
MWENYEKITI
WA KAMATI YA MUDA YA KLABU MBPC BRANDY NELSON AKIDADAVUA JAMBO KATIKA
VIFUNGU VYA KATIBA YA KLABU HIYO JUU YA UKOMO WA MWANACHAMA BAADA
KUBAINIKA AMEKIUKA TARATIBU ZA KLABU HIYO |
|
MTUNZA HAZINA WA MUDA WA KAMATI YA MPITO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA EMANUEL LENGWA AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO |
|
MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA MPITO BRANDY NELSON AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO |
|
MJUMBE
WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA CHARLES
MWAKIPESILE AKIMPONGEZA MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO WA KLABU HIYO KWA
TAARIFA NZURI |
Chama
cha wanahabari mkoa wa Mbeya kimewavua uanachama aliyekuwa mwenyekiti wa chama
hicho CHRISTOPHER NYENYEMBE na aliyekuwa mwekahazina PENDO FUNDISHA baada ya
kubainika kufanya ubadhilifu wa fedha za klabu.
Uamuzi
huo umefikiwa baada ya kamati maalumu iliyoundwa mwanzoni mwa mwezi Januari
kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa zaidi ya shilingi Milioni 4 za chama hicho.
Wakiongea
huku wakionekana watu wenye jazba, wanachama wa klabu hiyo wamesema haina budi
kwa wanachama hao kuvuliwa uanachama kutokana na kuthibitika kufanya ubadhilifu
wa mali za umoja.
0 comments:
Post a Comment