Pages

Home » » UKATILI WA WATOTO WADOGO NANI ATASAIDIA KUUDHIBITI? SERIKALI, JAMII AMA WANASIASA

UKATILI WA WATOTO WADOGO NANI ATASAIDIA KUUDHIBITI? SERIKALI, JAMII AMA WANASIASA



Mkono wa Fikiri Haus 13 
uliounguzwa unavyo onekana 
kwa karibu huo ni ukatiri ulio kithiri

Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya  Kunguzwa Moto na Mama yake

Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi Msomaji hebu angalia Jamii ya  watanzania kila siku inafanya  makongamano ya kuzuia vitendo 
vya ukatili dhidi ya watoto na  mama, je kitendo kama hiki  watanzania tunaenda wapi  na hikiwa watoto ndio Taifa la kesho?
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger