Pages

Home » » KWA HALI HII YA MAZINGIRA YA SHULE ELIMU KWA WATOTO WETU ITAENDELEA KWELI, USALAMA JE

KWA HALI HII YA MAZINGIRA YA SHULE ELIMU KWA WATOTO WETU ITAENDELEA KWELI, USALAMA JE




Choo cha shule ya msingi Lipangala, huko sehemu mojawapo ya Ludewa. Nashangaa hata kusafisha eneo linalozunguka choo ni:
  • Mbunge achangie?
  • Serikali ipangie bajeti?
  • Wazazi wachangie?
  • Walimu wahimizwe?
  • Kaka Mkuu na Dada Mkuu wa shule hawana akili timamu?
  • Elimu ya maisha na kujitegemea mashuleni imesitishwa?

Kama mambo hayo hayahitajiki kwa nini kusiwe na taratibu za wanafunzi kufanya usafi wa mazingira yao? Nahofia hapa ipo siku nyoka atakanyagwa mkia kisha kumng'ata mguu mwanafunzi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger