Pages

Home » » UZINDUZI WA MRADI WA GBV ULIVYOFANA WILAYANI KYELA

UZINDUZI WA MRADI WA GBV ULIVYOFANA WILAYANI KYELA


MMOJA WSA WARATIBU WA MRADI WA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KWA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO(GBV) HIJJA WAZEE AKISOMA TAARIFA YA MRADI HUO HUKU AKISIKILIZWA KWA MAKINI NA MKUU WA WILAYA YA KYELA MAGRETH MALENGA AKIMSIKILIZA KWA MAKINI SIKU YA UZINDUZI WA MRADI SHUGHULI ILIYOFANYIKA KWENYE UWANJA WA MWAKANGALE KYELA MJINIMKUU WA WILAYA YA KWELA AKIKABIDHI CHETI KWA MMOJA WA WATU WATAKAOJITOLEA KUSHIRIKI KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI HUO UNAOFADHILIWA NA MFUKO WA RAIS WA MAREKANI.WASHIRIKI WA KUJITOLEA KATIKA GBV WAKIFURAHIA VYETI BAADA YA KUKABIDHIWA NA MKUU WA WILAYABURUDANI NAZO ZILICHUKUA NAFASI YAKE NA KUMFURAHISHA KILA ALIYEHUDHURIA UZINDUZI HUO.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Greyson Salufu | Chimbuko Letu Inc | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Mbwile Media - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger