MWILI WAKE UKIWA UMEFUNIKWA
MAOFISA WA JESHI LA POLISI MBEYA WAKIFIKA KWA UCHUNGUZI ZAIDI WA TUKIO
Mtu
mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la HASANI mkazi wa Tunduru amekutwa
amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa chumbani kwake maeneo ya Makunguru kata ya
Ruanda jijini Mbeya.
Akiongea
na Bomba Fm mwenyekiti wa mtaa wa Mtoni PATRICK HAULE amesema kifo cha kijana
huyo bado kinaendelea kuchungwa kutokana na ughafla wake.
Aidha
amesema huenda kijana HASANI akawa amefikwa na umauti baada ya kusumbuliwa na
tatizo la kifafa, hata hivyo bado haijadhibitika kama alikuwa na tatizo hilo.
Kijana
HASANI amefikwa na umauti akiwa ndani ya nyumba ya mzee BONIFASI MWANYEMBE
ambako alikuwa amepanga chumba kimoja.
0 comments:
Post a Comment